Trusted by retailers & fashion brands at
We provide flexible pricing options to accommodate the varied requirements of our clients
Tangu nianze kutumia MiniPOS, biashara yangu ya duka imebadilika sana. Nayaona mauzo yangu kila siku, sihitaji tena kuandika kwenye daftari. Ni rahisi kutumia na inanisaidia kufuatilia stock vizuri. Nawashauri wafanyabiashara wote wadogo kuitumia

MiniPOS imenisaidia sana katika biashara yangu ya saluni. Narekodi malipo yote, na sihusiki tena na hasara ya pesa kutopatikana. Mfumo ni mwepesi na hata wafanyakazi wangu wameweza kuutumia bila shida

"Kabla ya MiniPOS, nilikuwa na changamoto ya kufuatilia bidhaa kwenye duka langu. Sasa najua ni bidhaa gani zimeisha na lini nilifanya mauzo mengi. App hii imenirahisishia kila kitu."

Everything you need to know before getting started.